tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 498
Katika tafiti zangu zisizo rasmi ila zenye ukweli leo nilijikita katika vyuo vikuu 5 ambavyo vinavyotoa degree " hapa nchi ,kati ya vyuo hivyo 3 ni maharufu sana hapa Tanzania, tena hiki kimoja wapo kipo kule tunapoenda kuijadili katiba yetu, pale nilikutana na semi nyingi au sijui ndio methali zingine nilizipenda sana.
Ila usemi huu sikuupenda kwani sikujua nini maana yake DEGREE ZA CHUPI" niliwashangaa sana hawa wasomi wetu.
Kwani kuna degree za chupi zinatolewa hapa tanzania jamani?