degree za CHUPI ni pale binti mwanchuo anapoamua kuwavulia wahadhiri(lectures) chupi yake ili aweze kupata unafuu wa kufaulu katika masomo yake na htimae anajipatia degree yake kwa staili hii. Na hiyo ndio degree ya CHUPI. Maneno yangu sio sheria.
View attachment 177206
Katika tafiti zangu zisizo rasmi ila zenye ukweli leo nilijikita katika vyuo vikuu 5 ambavyo vinavyotoa degree " hapa nchi ,kati ya vyuo hivyo 3 ni maharufu sana hapa Tanzania, tena hiki kimoja wapo kipo kule tunapoenda kuijadili katiba yetu, pale nilikutana na semi nyingi au sijui ndio methali zingine nilizipenda sana.
Ila usemi huu sikuupenda kwani sikujua nini maana yake DEGREE ZA CHUPI" niliwashangaa sana hawa wasomi wetu.
Kwani kuna degree za chupi zinatolewa hapa tanzania jamani?
Haya mambo mengine wala hayaitaji utafiti, kwani ukiskia degree ya ujenzi unaelewa nini, wanasomea masuala yanayohusu ujenzi, sasa degree ya chupi lazima itakuwa wanasomea masuala yanayohusu chupi, kwa mfano namna ya kuzishona, kuzivaa, kuzifua n.k.
ma smellmahalufu?
ma bukuma smell
haaaaaa umenivunja mbavuuuHaya mambo mengine wala hayaitaji utafiti, kwani ukiskia degree ya ujenzi unaelewa nini, wanasomea masuala yanayohusu ujenzi, sasa degree ya chupi lazima itakuwa wanasomea masuala yanayohusu chupi, kwa mfano namna ya kuzishona, kuzivaa, kuzifua n.k.
katika jf sijaona mtu m.k.u.nd.u kama wewe ndio nyie wma lecture mmevua chupi mmepata vi degree fekimuulize mama yako kwann unamuuliza nani hapa jf kuhusu degree za chupi