Vyuo vikuu jamani acheni usemi huu mnajidhalilisha wenyewe

Vyuo vikuu jamani acheni usemi huu mnajidhalilisha wenyewe

degree za CHUPI ni pale binti mwanchuo anapoamua kuwavulia wahadhiri(lectures) chupi yake ili aweze kupata unafuu wa kufaulu katika masomo yake na htimae anajipatia degree yake kwa staili hii. Na hiyo ndio degree ya CHUPI. Maneno yangu sio sheria.

Acha akili finyu,kwani vijana wa kiume hawana chupi!wao ndio mahiri sana wa mitihani?
 
Haya mambo mengine wala hayaitaji utafiti, kwani ukiskia degree ya ujenzi unaelewa nini, wanasomea masuala yanayohusu ujenzi, sasa degree ya chupi lazima itakuwa wanasomea masuala yanayohusu chupi, kwa mfano namna ya kuzishona, kuzivaa, kuzifua n.k.
 
View attachment 177206

Katika tafiti zangu zisizo rasmi ila zenye ukweli leo nilijikita katika vyuo vikuu 5 ambavyo vinavyotoa degree " hapa nchi ,kati ya vyuo hivyo 3 ni maharufu sana hapa Tanzania, tena hiki kimoja wapo kipo kule tunapoenda kuijadili katiba yetu, pale nilikutana na semi nyingi au sijui ndio methali zingine nilizipenda sana.

Ila usemi huu sikuupenda kwani sikujua nini maana yake DEGREE ZA CHUPI" niliwashangaa sana hawa wasomi wetu.

Kwani kuna degree za chupi zinatolewa hapa tanzania jamani?

muulize mama yako kwann unamuuliza nani hapa jf kuhusu degree za chupi
 
Haya mambo mengine wala hayaitaji utafiti, kwani ukiskia degree ya ujenzi unaelewa nini, wanasomea masuala yanayohusu ujenzi, sasa degree ya chupi lazima itakuwa wanasomea masuala yanayohusu chupi, kwa mfano namna ya kuzishona, kuzivaa, kuzifua n.k.

Shukran Mkuu Nimeanza kuielewa hizi Digrii za Chup# !
 
Haya mambo mengine wala hayaitaji utafiti, kwani ukiskia degree ya ujenzi unaelewa nini, wanasomea masuala yanayohusu ujenzi, sasa degree ya chupi lazima itakuwa wanasomea masuala yanayohusu chupi, kwa mfano namna ya kuzishona, kuzivaa, kuzifua n.k.
haaaaaa umenivunja mbavuuu
 
Back
Top Bottom