mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Tofauti na case ya Benard Morison ambaye case yake ilikaa kimagumashi.
Kwamara ya kwanza case inayohusisha mikataba itatoa precedent kutoka kwenye mpira wa miguu,
Young African Sports Club VS Feisal Salum
Japo swala lake liliamriwa na TFF ambayo ilijivika kuwa tribunal .tofauti na ilivyozoeleka kufanya reference ya kesi zilizofika kwenye ngazi za mahakama