Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii tahadhari mbona haikuja kabla ya vita? Huku ni kuchafua CV za wahanga!Vyuo Vikuu pendwa havipo hata kwenye top 500 global universities rankings! Hivyo chukueni tahadhari.
**USHAURI: Bora hata umpeleke mtoto vyuo vya South Africa kuliko Ukraine.
Kila jambo linakuja kwa wakati na makusudi.Hii tahadhari mbona haikuja kabla ya vita? Huku ni kuchafua CV za wahanga !
Unaijua Stellenbosch? University of Cape Town? Pretoria?
Sasa Ukraine unapata connection gani?Naijua, ila ningeopt kijana wangu aende huko ukraine sio africa kusini angalia wahindi ambao ni maexpert Sana hasa IT na medicine wengi walikuwa ukraine wanasoma
Kuna faida nyingi kuanzia watu anaokutana nao,walimu wake connection na ulaya magharibi
Hao wahindi uwezo wametoka nao kwao. Toa mifano ya watu wengineNaijua, ila ningeopt kijana wangu aende huko ukraine sio africa kusini angalia wahindi ambao ni maexpert Sana hasa IT na medicine wengi walikuwa ukraine wanasoma
Kuna faida nyingi kuanzia watu anaokutana nao,walimu wake connection na ulaya magharibi
Tatizo hujawah kuvuka border. umeishia hapo hapo kwenu Ikwiririkama ukraine vyuo vyake haviko katika ubora wahindi wasingeenda kusoma huko wangesomea kwao mbona wanafunzi tz tunaenda india kupata elimu na ndio tunaona wanavyuo vizuri na wao wahindi wameona ukraine ndio best kuliko india. acha chuki south africa hakuna chuo kuliko ukraine south africa kama bongo tu imebaki jina
Wahindi wengi wanaoenda huko ni wale waliokosa udahili kwenye vyuo vya nchini kwao.Hao wahindi uwezo wametoka nao kwao. Toa mifano ya watu wengine
Ivi Lemutuzi yupo"Mimi nikishasoma nje inatosha hata kama ni chuo cha kata" ilisikika njemba flani hivi bongebonge.
Vyuo Vikuu pendwa havipo hata kwenye top 500 global universities rankings!
Hivyo chukueni tahadhari.
**USHAURI: Bora hata umpeleke mtoto vyuo vya South Africa kuliko Ukraine.
NB: Hakuna mtu makini nchini aliyesoma vyuo tajwa.