Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatak kusema sawa na mbongo anayeenda kwa Museveni sababu ya kukosa credit za olevel huku.Wahindi wengi wanaoenda huko ni wale waliokosa udahili kwenye vyuo vya nchini kwao.
Mkuu criterion yako uliyotumia haivifanyi vyuo vya Ukraine kuwa vibovu kama unavyo jaribu kutuaminisha.Vyuo Vikuu pendwa havipo hata kwenye top 500 global universities rankings!
Hivyo chukueni tahadhari.
**USHAURI: Bora hata umpeleke mtoto vyuo vya South Africa kuliko Ukraine.
NB: Hakuna mtu makini nchini aliyesoma vyuo tajwa.
Mara nyingi ipo hivyo.Unatak kusema sawa na mbongo anayeenda kwa Museveni sababu ya kukosa credit za olevel huku.
Sawa mkuu ,hivi we degree yako ya Nchini eeh,Mara nyingi ipo hivyo.
ya UkraineSawa mkuu ,hivi we degree yako ya Nchini eeh,
Kwa hiyo umeamua umuue mazima?Tatizo hujawah kuvuka border. umeishia hapo hapo kwenu Ikwiriri
Chief pole kwa masomo hapo IndiaKama ukraine vyuo vyake haviko katika ubora wahindi wasingeenda kusoma huko, wangesomea kwao mbona wanafunzi Tanzania tunaenda India kupata elimu na ndio tunaona wanavyuo vizuri na wao wahindi wameona Ukraine ndio best kuliko India. Acha chuki South Africa hakuna chuo kuliko Ukraine South Africa kama bongo tu imebaki jina
Duh pole sanaKama ukraine vyuo vyake haviko katika ubora wahindi
Ajabu kwa Museveni wako vzr nakuambia kuliko sisiUnatak kusema sawa na mbongo anayeenda kwa Museveni sababu ya kukosa credit za olevel huku.
huu ushauri wa kwenye watsup huu na vijiwe vya umbeaVyuo Vikuu pendwa havipo hata kwenye top 3000 global universities rankings!
Hivyo chukueni tahadhari.
**USHAURI: Bora hata umpeleke mtoto vyuo vya South Africa kuliko Ukraine.
NB: Hakuna mtu makini nchini aliyesoma vyuo tajwa.