Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Ningeshangaa sana kama nacho ungekiita chuo kikuu hapa nchini. Yani watu wakifeli kote wanarnda pale hasa ma ticha wale waliopo jobsio cumpus ile ni chuo kikuu kina kijitegemea ila ni chuo cha kata 😆