Kelly G New Member Joined Jun 29, 2015 Posts 2 Reaction score 0 Jul 21, 2016 #1 Habari wanajamii Naomba kufahamu vyuo vikuu vya serikali vinavyotoa stashahada na shahada ya sheria hapa Tanzania
Habari wanajamii Naomba kufahamu vyuo vikuu vya serikali vinavyotoa stashahada na shahada ya sheria hapa Tanzania
gimanini JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 1,798 Reaction score 1,857 Jul 25, 2016 #2 UDSM MZUMBE IJA
Mjamaa1 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 7,596 Reaction score 6,023 Jul 25, 2016 #3 Jaribu OUT
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,600 Reaction score 35,158 Jul 25, 2016 #4 Kelly G said: Habari wanajamii Naomba kufahamu vyuo vikuu vya serikali vinavyotoa stashahada na shahada ya sheria hapa Tanzania Click to expand... Kama umefaulu vizuri nenda udsm au mzumbe
Kelly G said: Habari wanajamii Naomba kufahamu vyuo vikuu vya serikali vinavyotoa stashahada na shahada ya sheria hapa Tanzania Click to expand... Kama umefaulu vizuri nenda udsm au mzumbe
robby klax JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 283 Reaction score 121 Aug 1, 2016 #6 Danload guide book ya TCU mwaka 2016 ina vyuo Zaid ya 25 vinavyo toa coarse iyo apo pamoja na Ada na ufauru unao itajika
Danload guide book ya TCU mwaka 2016 ina vyuo Zaid ya 25 vinavyo toa coarse iyo apo pamoja na Ada na ufauru unao itajika
kagwima JF-Expert Member Joined Jun 6, 2016 Posts 1,278 Reaction score 1,630 Aug 1, 2016 #7 Mocu zaman ushirika moshi
666 chata JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 1,700 Reaction score 3,921 Aug 2, 2016 #8 Wakuu mwenye kesi yoyote ya hospitali tafadhali anisaidie hata jina tu, hasa hizi za kuvujisha taharifa za wagonjwa "disclosure of patient records".
Wakuu mwenye kesi yoyote ya hospitali tafadhali anisaidie hata jina tu, hasa hizi za kuvujisha taharifa za wagonjwa "disclosure of patient records".