Vyuo vikuu vinavyotoa stashahada na shahada ya sheria kwa 2016/2017

Vyuo vikuu vinavyotoa stashahada na shahada ya sheria kwa 2016/2017

Kelly G

New Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Habari wanajamii
Naomba kufahamu vyuo vikuu vya serikali vinavyotoa stashahada na shahada ya sheria hapa Tanzania
 
Danload guide book ya TCU mwaka 2016 ina vyuo Zaid ya 25 vinavyo toa coarse iyo apo pamoja na Ada na ufauru unao itajika
 
Wakuu mwenye kesi yoyote ya hospitali tafadhali anisaidie hata jina tu, hasa hizi za kuvujisha taharifa za wagonjwa "disclosure of patient records".
 
Back
Top Bottom