AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
hawa madogo hawajui kutofautsha vyuo vikuu na college
sasa perry mbona umeshindwa kuweka kichwa chaa habari,vyuo vikuu au vyuo vikuu na taasisi au colleges?umechanganya.na tangu lini nbaa wanatoa ripoti kama hiyo zaidi
1.UDSM
2.IFM
3.TIA
4.IAA
5.MZUMBE
Ila msisahau Udom nayo inakuja kwa kasi sana,kwa baadhi ya wahitimu wake kuanza kufanya vizuri katika mitihani ya nbaa.