Vyuo vikuu vitano bora katika nyanja ya uhasibu nchini tanzania kulingana na vigezo vya NBAA.

Vyuo vikuu vitano bora katika nyanja ya uhasibu nchini tanzania kulingana na vigezo vya NBAA.

Sasa perry mbona umeshindwa kuweka kichwa chaa habari,vyuo vikuu au vyuo vikuu na taasisi au colleges?umechanganya.na tangu lini nbaa wanatoa ripoti kama hiyo zaidi
 
sasa perry mbona umeshindwa kuweka kichwa chaa habari,vyuo vikuu au vyuo vikuu na taasisi au colleges?umechanganya.na tangu lini nbaa wanatoa ripoti kama hiyo zaidi

nao wanataka waonekane kuwa wana weledi na wanaufahamu kuhusu elimu ya juu,wanakera kweli na nyuzi zao zisizo na uelekeo hizi.
 
1.UDSM
2.IFM
3.TIA
4.IAA
5.MZUMBE
Ila msisahau Udom nayo inakuja kwa kasi sana,kwa baadhi ya wahitimu wake kuanza kufanya vizuri katika mitihani ya nbaa.

How about the former Nyegezi Social Training Institute NSTI (now SAUT)!? Naona kama wa alumni wake ni wazuri maofisini tangu enzi. Au ulikuwa bado haujazaliwa!?
 
Inategemea...mbona according to nbaa muccobs ndo wameibuka vinara module e seating ya november 2013
 
kweli wewe ndo unaanza mwaka wa kwanza,hapo universities in udsm na mzumbe tuu,so linganisha mzumbe mbeya kampasi na ifm sio mzumbe university na ifm..ingekuwa rahisi kihivyo hata ifm,iaa nazo zingekuwa universities
 
Back
Top Bottom