Mi nadhani tatizo ni mtindo wetu wa shule. Kuna maswala ya kurudia madarasa, kurudia mitihani, uoga wa kugushi nk. Vyeti mfano vya UDSM vinatumia mtindo wa UK ambapo vyeti vinatengenezwa kwa umakini na ufundi wa hali ya juu kuhakikisha kwamba ni ngumu kugushi. Hiyo kazi siyo ya siku moja. Vipo vyuo vinavyotoa vyeti siku ya graduation sawa lakini tujiulize vyeti vinatengenezwa wapi kwa ufanisi upi na kwa mud a gain? UDSM na Ekenford ni vyuo tofauti kwa kila idara lakini kubwa ni umiliki.
Kuna mtu amesema wanatafuta hela za uchaguzi. Hahahaaa siwezi kumsaidia aende hosipitali.
Vyuo vingi vya umma vinajitahidi kurahisisha teknolojia kama Aris ili matokeo na taarifa nyingine za mwanafunzi ziwe uodated kila wakati na kwa ufanisi. Tumeona waliomaliza mwaka 2013 vyeti vyao vilitoka mapema sana tofauti na miaka mingine. Mwezi wa tatu vyeti vilikua tayari.
Transcript siyo cheti bali ni mtirirko wa masomo utiyosoma na ulichovuna. Kutumia kuajiriwa ni uamuzi wa muajiri. Wapo waajiri wanachukua wanafunzi kabla hata hajamaliza chuo.