Vyuo vilivyotoa nafasi za msomo ngazi ya cheti 2015/2016 ni vipi?

Vyuo vilivyotoa nafasi za msomo ngazi ya cheti 2015/2016 ni vipi?

Khaleed Shaban

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
399
Reaction score
58
Habari zenu ndugu?
Naomba mwenye kujua vyuo vilivyotangaza nafasi za masomo kwa mwaka 2015/2016,kwa kozi za biashara ningependa viwe vya Dar es salaam
Ahsanteni
 
Back
Top Bottom