vyuo vinafunguliwa lini?

vyuo vinafunguliwa lini?

Lwakitwe

Senior Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
101
Reaction score
15
habari zenu wana jamvi kwanza natanguliza shukrani zangu kwenu wana jamvi kwa ushirikiano wenu mchango wenu ni mkubwa kwangu.
Nawaombeni mnisaidie kwa hili mimi ni kijana niliyemaliza kidato cha nne mwaka 2009 nikapata point 28 sasa nimejiunda nataka nijiunge na chuo cha UANDISHI wA HABARI kama kuna yeyote mwenye kujua ni lini vyuo vinafunguliwa anijuze au kama kuna mwenye contact anijuze napatikana mbezi Dar es salaam my contact number 0759628104 emael aanodius@yahoo.com
 
nisaidie ndugu zangu bila elimu maisha ni magumu
 
habari zenu wana jamvi kwanza natanguliza shukrani zangu kwenu wana jamvi kwa ushirikiano wenu mchango wenu ni mkubwa kwangu.
Nawaombeni mnisaidie kwa hili mimi ni kijana niliyemaliza kidato cha nne mwaka 2009 nikapata point 28 sasa nimejiunda nataka nijiunge na chuo cha UANDISHI wA HABARI kama kuna yeyote mwenye kujua ni lini vyuo vinafunguliwa anijuze au kama kuna mwenye contact anijuze napatikana mbezi Dar es salaam my contact number 0759628104 emael aanodius@yahoo.com

Utaratibu wa chuo chochote kile kijisajili kwanza na kujihakikishia umepata nafasi kwenye chuo husika, baada ya hapo ndo ungoje muda wa masomo kuanza. Acha kukaa mbezi kungoja malaika wakufanyie usaili, nenda kwenye hizo college uombe application form na uulize yote unayotaka kujua.
 
habari zenu wana jamvi kwanza natanguliza shukrani zangu kwenu wana jamvi kwa ushirikiano wenu mchango wenu ni mkubwa kwangu.
Nawaombeni mnisaidie kwa hili mimi ni kijana niliyemaliza kidato cha nne mwaka 2009 nikapata point 28 sasa nimejiunda nataka nijiunge na chuo cha UANDISHI wA HABARI kama kuna yeyote mwenye kujua ni lini vyuo vinafunguliwa anijuze au kama kuna mwenye contact anijuze napatikana mbezi Dar es salaam my contact number 0759628104 emael aanodius@yahoo.com

so wewe hapa mjini ni mgeni?.......vyuo ivyo vya elimu ya kati huanza mwezi wa sita mwishoni mpaka wa nane na wa tisa..........swali langu je usha make decission kwamba ni chuo gani unataka kusoma? kama bado hebu fanya hivo kwanza..na kama tayari nenda hapo chuon uulize utaratibu au ingia website yao utapata information nyingi

chuo nachokijua mimi kwa mambo hayo tawi lao mmoja lipo ilala bungoni pale
 
Back
Top Bottom