Amani iwe kwenu.
Naomba kufahamishwa juu ya vyuo vya Serikali na binafsi vinavyofundisha Diploma ya Nursing vilivyopo katika mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam na Pwani. Nimepitia website ya Wizara ya Afya sikuona link ya kunipatia list hiyo. Any suggestion o?
Tafadhali kama unajua chuo kimoja au viwili au vingi nifahamishe mimi nitafuatilia. Pia unaweza kunishauri nitembelee link au website gani
Mbarikiwe sana.