Vyuo vinanvyofundisha diploma ya nursing - dar, moro au pwani

Vyuo vinanvyofundisha diploma ya nursing - dar, moro au pwani

Foreina

Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
9
Reaction score
2
Amani iwe kwenu.

Naomba kufahamishwa juu ya vyuo vya Serikali na binafsi vinavyofundisha Diploma ya Nursing vilivyopo katika mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam na Pwani. Nimepitia website ya Wizara ya Afya sikuona link ya kunipatia list hiyo. Any suggestion o?

Tafadhali kama unajua chuo kimoja au viwili au vingi nifahamishe mimi nitafuatilia. Pia unaweza kunishauri nitembelee link au website gani

Mbarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom