Kaka hapo nakupa 5 inaelekea umefanya tafiti za kutosha, shule ya SUA ni noma sana, yaaani wao below 50 ngoma imekula kwako, naomba nideclare interest kuwa mm nilisoma hapo katika bachelor yangu ya mazingira, ila hakuna mtu atakayenishawishi nirudi pale kwa ajili ya msc level, jamaa ni wasumbufu sana na wakatili, hawana msamalia mtume.