toto zuli
JF-Expert Member
- Aug 20, 2012
- 265
- 279
kama unasoma vyuo hivi au umechaguliwa kudisco...ni kitu cha kawaida usipokuwa makini unaweza hata usimalize chuo.......
1. Sua
2.muhimbili
3. D.i.t
4. Kcmc na bugando
5. Udsm..
6.mzumbe
7.i f m
8.muccobs
9.t.i.a
10.mist......
Kwa mliopitia hapa hebu tokea ushuhuda....na pia unaweza ongeza vyuo vingine kutoa ushuhuda ile siku ya matokeo watu walio disco huwa wana comment nini kuhusu chuo....