Vyuo vinavyotoa Masters degree ambavyo havipo kwenye orodha ya TCU (Post-Graduate guide book)

Hakuna kilichopotoshwa hapo. huwezi kusema kozi zinatambulika wakati kwenye kitabu chao hawajaziweka na wakati wao ndio regulator. Siku wakisema hazitambuliki utajitetea vipi? una ushaidi gani? kwa muongozo upi?. Ni kweli TCU wanacontrol ila hizo baadhi ya kozi kwenye vyuo vichache hawazitambui na ndio maana hawakuziweka kwenye kitabu chao. Mbona guidbook ya undergraduate ina vyuo na kozi zote lakini postgraduate ndio hakuna. kuna mahali pana changamoto.
 
TCU ina-regulate kozi kuanzia undergraduate hadi post graduate yaani Kuanzia bachelor degree, masters mpaka PHD n.k lakini NACTVET ina-regulate kozi zilizochini ya degree Yaani diploma, certificates, short courses na kozi za ufundi, Ufafanuzi huo aliotoa katibu wa wizara elimu ulitofautisha majukumu ya TCU na NACTVET, Kuna taasisi na vyuo, vyote vinasimamiwa na TCU na NACTEVET isipokuwa kila mmoja anasimamia viwango vya kozi kwa ngazi husika yaani TCU ikienda kwenye collage au instistute au University itaangalia undergraduate course to post graduate na NACTVET ikienda Collage au institute au University itaangalia diploma, certificate, short course na kozi za ufundi kwa chuo husika. Naomba upate uelewa huo. Nilichoandika mimi ni kutotambulika kwa baadhi ya kozi za post graduate kwenye baadhi ya vyuo na sio utofauti wa taasisi na vyuo vikuu.
 
Kweli kabisa. Hata mimi naelewa hivyo
 
Sijawahi kwenda ila nilipiga simu zao lakini hazikupokelewa. sikuwahi kutuma email. Naamini kupitia JF taarifa zitawafikia
 
Sijawahi kwenda ila nilipiga simu zao lakini hazikupokelewa. sikuwahi kutuma email. Naamini kupitia JF taarifa zitawafikia
 

Hebu weka postgraduate guideline ya tcu tuone kama hivi vyuo havipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…