GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 180
- 204
- Thread starter
- #21
Hakuna kilichopotoshwa hapo. huwezi kusema kozi zinatambulika wakati kwenye kitabu chao hawajaziweka na wakati wao ndio regulator. Siku wakisema hazitambuliki utajitetea vipi? una ushaidi gani? kwa muongozo upi?. Ni kweli TCU wanacontrol ila hizo baadhi ya kozi kwenye vyuo vichache hawazitambui na ndio maana hawakuziweka kwenye kitabu chao. Mbona guidbook ya undergraduate ina vyuo na kozi zote lakini postgraduate ndio hakuna. kuna mahali pana changamoto.Toka mwanzo hiyo ndio ulitaka iwe ajenda yako ila ukaogopa direct criticism hivyo kuja kwa njia ya kinyumenyume.
Hizo kozi zinatambulika na hivyo vyuo vimepewa ruksa, ithibati na ruksa Toka TCU.
Bado TCU wanaregulate na kukontroo hizo kozi hapo vyuo tajwa.
Hivyo usijaribu kupotosha[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]