Nimejaribu kuangalia selection za vyuo vingi ambavyo tayari vimeachia majina naona vimepata idadi ndogo sana kulingana na hitaji ya kila chuo tofauti na sauti main campus vingine hata nusu ya slots zilizokuwepo havifika mfano st john,Amucta, saut mtwara,Teku na vingine vingi je tatizo ni nini wakati serikali ilituaminisha kuwa ufaulu umeongezeka au lile lichuo lao la udom limemeza wanafunzi wote.