Vyuo vingi vyakosa wanafunzi

Vyuo vingi vyakosa wanafunzi

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,917
Reaction score
11,801
Nimejaribu kuangalia selection za vyuo vingi ambavyo tayari vimeachia majina naona vimepata idadi ndogo sana kulingana na hitaji ya kila chuo tofauti na sauti main campus vingine hata nusu ya slots zilizokuwepo havifika mfano st john,Amucta, saut mtwara,Teku na vingine vingi je tatizo ni nini wakati serikali ilituaminisha kuwa ufaulu umeongezeka au lile lichuo lao la udom limemeza wanafunzi wote.
 
Utofauti wa ada na michango ya vyuo vyetu ndio chanzo cha hayo yote. Watu wamechagua vyuo ambavyo gharama zao sio kubwa, ili waweze kuzimudu. Vyuo vyote ulivyotaja ni vya private ambavyo kwa kiasi fulani gharama zao ni kubwa sana!
 
Sasa mkuu unadhani ni kijana gani mwenye akili timamu ambaye yupo tayari kwenda hivyo vyuo mbuzi?
 
Back
Top Bottom