Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Engineering ip mnazungumzia? Ya kusoma vitu vingi na uzikuti katika mazingira ya kazi? Tunasoma masm,pic programming,embedded system,nasm,matlab,plc progamming,java,c++,c na compiler nyingiii.vp makampuni mangapi hapa tanzania vinatumia angalau plc na scada kwenye system zao? Engineer unaajiriwa planning section tanesco unafanya kazi ya kukagua wiring ya nyumba viumba vitatu,tanzania twachekesha kweli alaf mtu anakuja kusema chuo kinachotoa ma engeneer wazuri,badala ya kujiuliza ma engineer wa tz wanafanya kazi gani?
Ligi zilizomo humu JF mbona ni za Wahandisi tu?Inabidi tufanye research inawezekana hawa Wahandisi wa Tanzania hawapendani na kila siku ligi zao ni za kila mtu kusifia pale aliposomea.Mbona sioni ligi za Medical doctors,Ligi za wahasibu na za fani nyingine humu?Jamani wahandisi wetu badilikeni lengo si kuwa umesomea chuo gani lengo ni nini mchango wako katika taifa kwenye fani yako uliosomea ya uhandisi,NAdhani ni Coet tu wanatoa Bsc. wengine ni B. kwa hiyo amua
well said mkaka!!! lakin hata wasibu nao walikua na ligi yao humu...embu pitia nyuzi za nyuma utaona...maswala ya BAF sijui vitu gan......Ligi zilizomo humu JF mbona ni za Wahandisi tu?Inabidi tufanye research inawezekana hawa Wahandisi wa Tanzania hawapendani na kila siku ligi zao ni za kila mtu kusifia pale aliposomea.Mbona sioni ligi za Medical doctors,Ligi za wahasibu na za fani nyingine humu?Jamani wahandisi wetu badilikeni lengo si kuwa umesomea chuo gani lengo ni nini mchango wako katika taifa kwenye fani yako uliosomea ya uhandisi,