Vyuo vya afya...certificate na diploma

Vyuo vya afya...certificate na diploma

zethumb

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
610
Reaction score
137
Wasalaam wana JF! ni muda sasa Wizara ya Afya ilitangaza course za afya ikiwa ni diploma na certificate, je kuna chochote kimejiri kuhusu applications zilizotumwa kwenye kanda mbali mbali? naomba kufahamishwa hizo applications zimeishia wapi na kama walisha achia majina ya waliofanikiwa!
Nawasilisha.
 
hata mie cjui hayo matokeo wanatoa lini kwan walisema chuo wanafungua mwez wa kumi mwanzo mpaka leo kimya. Km kuna taarifa zzt wadau 2peane?
 
Ni muhimu katika kila mpango uwe na PLAN B, nakushauri ufikirie pia kurudia mitihani yako ya F.VI au F.IV kwenye hivi vyuo vya certificate na diploma watu ni wengi sana wanapakimbilia,
 
Back
Top Bottom