Vyuo vya afya kozi ya clinical medicine MARCH, 2021 intake

Vyuo vya afya kozi ya clinical medicine MARCH, 2021 intake

Mleta mada hana kosa,jamii zinatutegemea kupata taarifa mbalimbali,si vibaya kurudi huku JF kwenye kisima cha maarifa kupata taarifa na miongozo mbalimbali.
Wengine huwa hatuulizi ila kupitia wanaouliza na wanaotoa majibu tunapata njia sahihi kuwasaidia wenye uhitaji.
SHOMBE wa kisomali kuwa makini x3
 
Back
Top Bottom