Vyuo vya kati Tanzania ajira zake hutolewa mwezi gani kila mwaka?

Vyuo vya kati Tanzania ajira zake hutolewa mwezi gani kila mwaka?

gELUKA

New Member
Joined
Feb 22, 2024
Posts
4
Reaction score
2
Naomba kuuliza ajira za vyuo vya kati huwa wizara wanatoa mwezi gani kila mwaka.
 
hazina muda maalumu ni kama ajira za taasisi zingine tu
 
Siku hizi wanachukua walimu wa primary au sec. Wenye uzoefu wa angalau miaka miwili kazin
 
Back
Top Bottom