Habr wana JF. Jaman kama kuna anayefahamu kuhusu post za vyuo vya kilimo 2juzane kwan mpaka sasa cjui zinatoka lini or zimekwisha toka. Mwenye ufahamu na hili naomba msaada wake na pia kama kuna anayefahamu vyuo vya kilimo vilipo 2juzane.
Maombi bado hayajatoka ila wamesema watatangaza kwny website zao mwanzon mwa mwez wa 4.
Sifa ni zile zile kwa 'O'LEVER uwe umefaulu masomo ya sayans na uwe na 4 ya point 28.
Kwa 'A' LEVER uwe umefaulu masomo ya PCB.