kalamu ya chuma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 214
- 62
jameni wana jf, naombeni mnisaidie kujua vyuo vya kilimo vya serikali kwa mtu wa form four na process za kujiunga ni lini wanapokea maombi na application forms zinapatikanaje! Plz assist guyz.
jameni wana jf, naombeni mnisaidie kujua vyuo vya kilimo vya serikali kwa mtu wa form four na process za kujiunga ni lini wanapokea maombi na application forms zinapatikanaje! Plz assist guyz.
Jameni wana JF, naombeni mnisaidie kujua vyuo vya kilimo vya serikali kwa mtu wa Form Four na process za kujiunga ni lini wanapokea maombi na application forms zinapatikanaje!
Please Assist guyz.
Naliendele Mtwara, Uyole Mbeya, CDTI Tengeru n.k washaanza kupokea maombi vigezo ni div III na four ya Kwanza...
Jameni wana JF, naombeni mnisaidie kujua vyuo vya kilimo vya serikali kwa mtu wa Form Four na process za kujiunga ni lini wanapokea maombi na application forms zinapatikanaje!
Please Assist guyz.
Ingia website ya kilimo www.kilimo.go.tz kisha download tangazo na form ya kujiunga,soma maelekezo uombe utalipia 20,000 bank tatizo hawajahandika website ya vyuo ila ukijua chuo cha kuomba fika nbc bank huwa ndiko 2nalipia ada hvyo watakua wanafahamu akaunti ya chuo husika,ungekua form 6 ningekushaur uje horti tengeru ila kwa form 4 najua kuna mati mtwara,kuna tumbi,kuna ktc moshi.Soma form inajieleza ndg.mimi niko horti tengeru nachukua dip ya horticulture ni nzuri ndugu ukimaliza cheti karibu