Vyuo vya Kilimo Tanzania

Vyuo vya Kilimo Tanzania

kalamu ya chuma

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2014
Posts
214
Reaction score
62
Jameni wana JF, naombeni mnisaidie kujua vyuo vya kilimo vya serikali kwa mtu wa Form Four na process za kujiunga ni lini wanapokea maombi na application forms zinapatikanaje!

Please Assist guyz.
 
wameshaanza kupokea maombi kama kule ilonga morogoro, tengeru arusha, kuna mwanza, uyole mbeya, ingia mtandao wa wizara ya kilimo na chakula utapata maelekezo.
 
jameni wana jf, naombeni mnisaidie kujua vyuo vya kilimo vya serikali kwa mtu wa form four na process za kujiunga ni lini wanapokea maombi na application forms zinapatikanaje! Plz assist guyz.

nadhani aliyenitangulia katoa jibu zuri. nami naomba nikuulize kama ulimaliza form 4 mwaka jana, vipi result slip yako umeshachukua na umechukua wap?
 
jameni wana jf, naombeni mnisaidie kujua vyuo vya kilimo vya serikali kwa mtu wa form four na process za kujiunga ni lini wanapokea maombi na application forms zinapatikanaje! Plz assist guyz.

Tembelea www.kilimo.go.tz utapata vyuo vyote vya kilimo pamoja na anuani zao, hawana fomu ila unatuma barua kwa mkuu wa chuo.
 
results slip mara nyingi zinatumwa shule au ukachukue baraza kama upo dar.
 
Naliendele Mtwara, Uyole Mbeya, CDTI Tengeru n.k washaanza kupokea maombi vigezo ni div III na four ya Kwanza...
 
Jameni wana JF, naombeni mnisaidie kujua vyuo vya kilimo vya serikali kwa mtu wa Form Four na process za kujiunga ni lini wanapokea maombi na application forms zinapatikanaje!

Please Assist guyz.

kaka kwa wizara mambo bado wk iliyopita nilienda kumuona mkurugenzi wa mafunzo ya kilimo kwa hiyo kwa wizaran waliniambia nafas zinaweza kutoka mwez huu mwishon kwa maelezo npgie 0719066861 nikufahamishe vzur maana m nmesoma kilimo
 
jaman msaada jinsi ya kupata form kwa maana nimesikia mwaka huu wanaoomb kilimo inatakiwa kujaza form
 
Jameni wana JF, naombeni mnisaidie kujua vyuo vya kilimo vya serikali kwa mtu wa Form Four na process za kujiunga ni lini wanapokea maombi na application forms zinapatikanaje!

Please Assist guyz.

Ingia website ya kilimo www.kilimo.go.tz kisha download tangazo na form ya kujiunga,soma maelekezo uombe utalipia 20,000 bank tatizo hawajahandika website ya vyuo ila ukijua chuo cha kuomba fika nbc bank huwa ndiko 2nalipia ada hvyo watakua wanafahamu akaunti ya chuo husika,ungekua form 6 ningekushaur uje horti tengeru ila kwa form 4 najua kuna mati mtwara,kuna tumbi,kuna ktc moshi.Soma form inajieleza ndg.mimi niko horti tengeru nachukua dip ya horticulture ni nzuri ndugu ukimaliza cheti karibu
 
...jamani nani anyejua kinachoendelea, nimeona wanafunzi wengi wakielekea wizara ya kilimo na mifugo pale tazara, wanadai kuwa wametapeliwa!
"kwani wengi wao wameitwa kutoka mikoani, baada ya kufika wizarani wameambiwa baadhi ya vyuo walivyo omba havijasajiliwa (havitambuliki) watoto wanalalamika hawapiti Msaada wowote toka kwa wahusika!
 
Ingia website ya kilimo www.kilimo.go.tz kisha download tangazo na form ya kujiunga,soma maelekezo uombe utalipia 20,000 bank tatizo hawajahandika website ya vyuo ila ukijua chuo cha kuomba fika nbc bank huwa ndiko 2nalipia ada hvyo watakua wanafahamu akaunti ya chuo husika,ungekua form 6 ningekushaur uje horti tengeru ila kwa form 4 najua kuna mati mtwara,kuna tumbi,kuna ktc moshi.Soma form inajieleza ndg.mimi niko horti tengeru nachukua dip ya horticulture ni nzuri ndugu ukimaliza cheti karibu

unayesoma hort dip naomba nikuulize..
hyo kitu inadir pia na mbegu za mazao mfano mahind mpinga n.k? nataka niisome sua.
 
Kijana kwnza hongera kw kusoma hyo coz ya horticulture mi mwenzio ndo naenda kuichukulia bachelor degree hapo sua..lakn mpaka xahv cjaielewa inahuxu nin na field zake zinafanyikia wap? Pia vp kuhuxu ajira mmekwisha ambiwa mnajiliwa wap!? Njibu kw post mesage tafadhar
 
Back
Top Bottom