Vyuo vya kilimo wameshaanza kupokea maombi?

Vyuo vya kilimo wameshaanza kupokea maombi?

kim jung shik

Senior Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
129
Reaction score
23
hivi muda wa kutuma maombi vyuo vya kilimo umefika? jamani msaada wenu jamani
 
Muda wa maomb mwsho n mwez wa 4. Ila kupata taarfa zao inatokana na chuo cha kilmo unachoktaka kwa mfano cha ilemi "www.Ilemicollege.Com" jarbu kufungua hiyo.
 
samahanini jaman kwan unatumaje maombi kwa mfano chuo cha tengeru au katc arusha na moshi
 
Back
Top Bottom