University of Arusha.
Mkuu vyuo vya kisabato vya Tanzania!
Duuuuh.... Ina maana kuwa mwanasheria kwa msabato ni dhambi? Napata tabu kujua wanaendeshaje taasisi zao bila wanasheria.
Mwenyewe nimeshangaa sana. Sababu za kutokuwa nazo ni zipi? Wasabato tuna kazi kweli..!
Hapana si dhambi mkuu...! Tuna waumini wenzetu Wengi tu wasomi wa sheria...! Na pia taasisi zetu zina wanasheria Wengi tu... Ingawa vyuo vyetu havifundishi sheria...!
Mkuu ninashauri ukawasiliane kwanza na kanisa kuhusu WHY hatufundishi sheria ndipo uje utoe majibu. No offense.
Hahaha ila sadaka za malawyer tunachukua si eti?? Mnduu Ulienda kanisani jmosi ilopita?
Msingi wa vyuo vya kisabato hapa nchini ilikuwa ni kuandaa viongozi wa kiroho (wachungaji ) watakao kuwa na jukumu la kutoa Elimu ya kiroho kwa waumini na wasio waumini wa ki adventista. Hilo lilikuwa dhumuni kuu lakini kwa kuwa kama taasisi inayopanuka mahitaji yake pia yanaongezeka na uhitaji wa kuwa na wataalamu wa mambo mbalimbali unaongezeka kwa waumini na wasio waumini basi hivi vyuo vinaanzisha kozi nyengine ili kutoa elimu. Ni transition period sababu hata kozi ambazo zipo leo hazikuanza zote kwa pamoja. Wakati utafika ambapo taasisi itaona inafaa kwa kuzingatia taratibu na mahitaji ya utoaji wa kozi husika then ita ianzisha. Sioni uhusiano wa kukosa hiyo kozi na uhusiano wa kidini. Kwani hiyo sheria inatolewa kwenye vyuo vyote Tanzania. Na tukae tukijua kuna Taasisi ambazo zenyewe zina vipaumbele vyake kwa hiyo siwezi shangaa kukuta taasisi kubwa yenye kila Rasilimali lakini ikaamua kubobea sehemu moja.
Mwenyewe nimeshangaa sana. Sababu za kutokuwa nazo ni zipi? Wasabato tuna kazi kweli..!
Haha..tunazitafuna vibaya..tena kanisa ninalosalia lilikuwa na kesi ya mipaka mahakamani, na walimtumia mwanasheria wa hapo chech Kusaidia mambo ya kisheria...ndio maana nimecheki kweli vyuo vyetu havifundishi sheria, kweli sikulijua hili. Duh! Mnduu nimetonga mtaso aisee!
Sometimes you better keep your fingers and not bother. Try to imagine suala la Taasisi ya kidini kukosa kozi mtu analianziashia hoja hivi huwezi tambua kuwa huyu mtu ana lake jambo ila ameshindwa kwenda straight na anaanzia mbali tu vyuo vingapi havifundishi sheria na sio sheria tu Engineering, medicine, mbona vyuo vya serikali havifundishi theology na watu hawaulizi. Itafika hatua tutaanza kuulizana hata mavazi sasa kwanini unavaa suti. Vitu vingine heri kunyamaza tuWe jamaa sijui una akili gani weye?!!!!!!!