Vyuo vya Kisabato na degree ya sheria

Mbona vyuo vya kukatoliki vinalazimisha watu kufanya mitihani jmosi na wakikataa hufukuzwa? Hili mbona hawalihoji mbali na kwamba linakiuka haki za binadamu? Si bure ipo namna

Haki gani wanakiuka,mbona Muslim lecture na mitihani hadi Jumapili?
 
sikusahau madam nilimtajia kwa uchache tu!in fact zipo nyingine nyingi zaidi ya hizo

Nyingine ni Suji, Chome, Parane, Bupandagila, Ikizu, Ndembela, Kongowe, TASS nk
 
Law and legal studies from Seventh Day Adventist colleges/University
[TABLE="width: 438"]
[TR]
[TD]Major
[/TD]
[TD]College/University Where Offered
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Criminal Justice
[/TD]
[TD]LSU , LLU
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Pre-Law
[/TD]
[TD]SAU , WAU
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Pre-Law Political Science
[/TD]
[TD]AU , LSU , OU , PUC , SW , UC , WWU , WAU
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Pre-Law Political Studies
[/TD]
[TD]
WAU


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Anyway, what is the use of law? We need to reach the world by the word of God not law and legal proceedings (one advocate we have is JESUS)
 
Mkuu wangu Eiyer hata mimi ndio nagundua hilo sasa
 
Last edited by a moderator:

"do u want to say that the word of God does not follow the laws?, in this case then why ar u calling Jesus an advocate if at all no laws in the word of God?......law is evry where & it covers all spheres of ones living....."the holy bible contains laws that christians should follow, the Qur'n contais laws that musilms should follow & so forth!.......the issue to ask yourself's what does precisely the term "LAW" connotes!! & in whch context does the same appllies"
 

mimi c msabato ila majbu yko yanaaproach ukwel... ...JF we need great thinker like u... ...big up
 
 

vyuo vyenu vipi na vipi???, c hicho tu cha arusha ambacho ni bado kinakuwa,, i mean c o course zote wanatoa,, ushafatilia ukakuta ni kanuni ya kanisa kutokufundisha sheria??? vyuoni???,, and vipi kuhusu vyuo vingine vya hilo kanisa worldwide navyenyewe havitoi degree ya sheria????
 

mwanzoni wapi???,, kwani we unajua vizuri historia ya hicho chuo???,, kwani wakat kinaanza kilianza na course zote??,,c huwa wanaziongeza kulingana na muda na mahitaji??,, usishangae,, hakukuwa na education ikaletwa,, hakukuwa na sheria umeshasikia iko mbioni,, hakuna medicine hakuna engineering,, kulingana na muda na uhitaji kozi hizo zote zitaletwa,, ni suala la muda tu,,,, hata university of dar es salaam haikuanza na kozi zote,,,
 
 
Haya majina unayobatiza wenzio hio kazi kakupa nani? I don't think Shekizongoro ndio shekidudu, tangu ufungue Kanisa lako basi shida tupu, unitafute baadae kama upo mjini.
hahaha, mkono uliteleza, kanisa langu linaendelea vyema kabisa, na kwakweli Mungu nazidi kulibariki na sasa tuna mpango wa kununua Jet kubwa yenye uwezo wa kubeba abiri 300 ili baadhi ya waumini waweze kuletwa toka mikoani.

nipo njiani narudi dar mpwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…