Vyuo vya kusomea Lab. Technician

Vyuo vya kusomea Lab. Technician

Geofree

Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
44
Reaction score
5
WanaJF nahitaji kujua vyuo vya kusomea Laboratory technician kwa ngazi ya cheti vilivyo na nafasi bado(April2015)
 
Njoo chuo cha maji,ubungo karbu na udsm ,coet kozi inaitwa diploma of water quality laboratory Home
 
Kujua kama vina nafas..
I don knw.
Bt watafute uuluze.
 
Nenda Muslim University Of Morogoro(MUM)
 
Ruco, kolandoto, singida, nyingine, nvumi, st bakita sumbawanga, biharamulo hospitali ya wilaya, eckenford tanga, mount ukombozi dar
 
karbu chuo cha maji ubungo near UDSM,,ila ubishoo mwisho mataa get maji kazi kazi
 
jaman nisaidien et vyuo vya serikali vya afya kwa ngaz ya diploma tanznia ni kam vp?
 
National Sugar Institute (NSI) HAPA Kilombero wengi wanasoma hapa. kwa maelezo zaidi nipigie 0757856336 AU 0673100772
 
Back
Top Bottom