Vyuo vya kusomea Lab. Technician

Vyuo vya kusomea Lab. Technician

Besha kimesajiliwa kipo hapa mtaani kwetu ,Tanga na kipo ndani ya hospitali yake itwayo Besha health center
 
WanaJF nahitaji kujua vyuo vya kusomea Laboratory technician kwa ngazi ya cheti vilivyo na nafasi bado(April2015)

Wewe unahitaji kusoma Laboratory technology ili uwe Laboratory technician, vyuo hivyo ni vingi ingawa sina hakika na technology inayofundishwa huko. Vyuo vingi sasa hivi ni biashara zaidi kuliko kufundisha utaalam. Nahofu na namna ya kujiendeleza kwako baadae hasa ukiishia kuwa maabara isiyo kulipa sawa sawa na ukatakiwa kukimbia huko kwa njia ya kujiendeleza. Binafsi nashauri ufikirie kitu kingine na siyo hiyo kozi. Sijui umeishia wapi.
 
Besha kimesajiliwa kipo hapa mtaani kwetu ,Tanga na kipo ndani ya hospitali yake itwayo Besha health center


Besha hapana, siyo chuo kizuri still at its infancy and being a private chuo hakijawa na sifa ya kutoa wahitimu bora. Sawa na Eckenforde
 
Eckenford,besha wote kundi moja ,wamiliki wake wagumu kamakitu gani ,wako kimaslahi zaid ,besha zamani ilikuwa o level, mpaka A level, lakin akafunga shule kwasbabu anazojua yye mwenywe
 
vipi kama unaonja kidogo unaweza soma?
 
Back
Top Bottom