J JUMBE ABDALLAH Member Joined Jun 15, 2013 Posts 22 Reaction score 5 May 12, 2014 #1 Habari zenu wadau! Ninaomba mnifahamishe ni wapi vinapatikana vyuo vinafundisha laboratory technical kwa ngazi ya diploma hapa nchini na sifa za kujiunga, natumaini mtanisaidia mana kuna dogo nataka nimpeleke.
Habari zenu wadau! Ninaomba mnifahamishe ni wapi vinapatikana vyuo vinafundisha laboratory technical kwa ngazi ya diploma hapa nchini na sifa za kujiunga, natumaini mtanisaidia mana kuna dogo nataka nimpeleke.
fungi JF-Expert Member Joined Mar 18, 2014 Posts 2,539 Reaction score 4,672 May 12, 2014 #2 Huja specify laboratory technician ipi.!
R rolla JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,270 Reaction score 1,207 May 12, 2014 #3 laboratory technical....? hii fani imeanzishwa lini?