JUMBE ABDALLAH
Member
- Jun 15, 2013
- 22
- 5
Habari zenu wadau! Ninaomba mnifahamishe ni wapi vinapatikana vyuo vinafundisha laboratory technical kwa ngazi ya diploma hapa nchini na sifa za kujiunga, natumaini mtanisaidia mana kuna dogo nataka nimpeleke.