Vyuo vya nje vyenye wa-tz wengi

Vyuo vya nje vyenye wa-tz wengi

mama dunia

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
420
Reaction score
84
Hi wana jamvi, kuna ka-research kadogo nafanya so naomba mnisaidie kujua vyuo gani duniani (nje ya TZ) vyenye wa-tz (wanafunzi wa ki-tz) wengi, mfano

1.Makerere Uganda
2...........
3.......
4.......nk

Asante kwa ushirikiano
 
Back
Top Bottom