Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Mbona ulipotea ghafla basi nikajua Ban tayari
Kapatikana leo hana lolote Mburula tu huyu.
Hivi Kidato cha nne umhitimu wapi(Shule ),na ulipata daraja gani la Ufaulu?
Mukobs unasoma Kozi gani?
Tuanzie hapa Mkuu
Wakuu nimefanya utafiti kwenye vyuo vya PRIVATE kama SAUT,RUCo(Ruaha university college),MWENGE UNIVERSITY,JORDAN UNIVERSITY,ARUSHA UNIVERSITY,ST.JOSEPH UNIVERSRTY,TUMAINI DAR,TUMAINI IRING,TUMAINI MAKUMIRA,ST.JOHN,TEKU,SEKOMU,EUKENFORD,nikagundua kwamba wanagraduate na G.P.A kubwa sana yaani unakuta G.P.A za 4 zimejaa hadi unashangaa ! na tunajua kabisa asilimia kubwa ya wanafunzi wanaochukuliwa kwenye hivi vyuo vya PRIVATE wamepata division three zile mbaya mfano,15,16,17,! Hebu tujadili wakuu kwa nini hivi vyuo vya PRIVATE wanapewa G.P.A kubwa sana je ni sababu za kibiashara

Leo ni siku ambayo hutaisahau....
Shwain kabisa...
ama kweli nimeamini hunipendi kulaleki!:A S 13:
nikakwambia unirushie angalau namba yako, ukagoma!!:A S-alert1:
mi nipo sana tu!😛eace:
Ataisahau tu. Nimemsifu ana kifua cha kistamili kweli na kupuuzia maneno. Wapo wachache wa aina yake.
private wapo kibiashara zaid ndomaana GPA zao ni kubwa,mim binafs kuna washkaj zang kibao walisomaga private wakiwa na div3 zao za 16 lkn wamemaliza na GPA ya4.2.....duh ni hatari kabsa,ndoomaana mim huwa naona ni bora mwnye gentleman GPA (2) ya govt kulko mwny 4-5 GPA private
Tehe tehee teheeeeeee! Sijui hata nielezeje: nimemaliza kidato cha sita Kibaha Secondary, na nikapata division 1.6. Nimemaliza degree yangu SAUT. Baadhi ya jamaa zangu wa PCB walipata division 1.5 na kwenda kusoma Bugando na wengine KCMC. Kwa kweli, ni heri kukaa kimya kama mtu hana la msingi la kuzungumza.Lakini vyuo vya private wanagawa G.P.A kama njugu ilhali wengi ni vilaza
private wapo kibiashara zaid ndomaana GPA zao ni kubwa,mim binafs kuna washkaj zang kibao walisomaga private wakiwa na div3 zao za 16 lkn wamemaliza na GPA ya4.2.....duh ni hatari kabsa,ndoomaana mim huwa naona ni bora mwnye gentleman GPA (2) ya govt kulko mwny 4-5 GPA private
Wakuu nimefanya utafiti kwenye vyuo vya PRIVATE kama SAUT,RUCo(Ruaha university college),MWENGE UNIVERSITY,JORDAN UNIVERSITY,ARUSHA UNIVERSITY,ST.JOSEPH UNIVERSRTY,TUMAINI DAR,TUMAINI IRING,TUMAINI MAKUMIRA,ST.JOHN,TEKU,SEKOMU,EUKENFORD,nikagundua kwamba wanagraduate na G.P.A kubwa sana yaani unakuta G.P.A za 4 zimejaa hadi unashangaa ! na tunajua kabisa asilimia kubwa ya wanafunzi wanaochukuliwa kwenye hivi vyuo vya PRIVATE wamepata division three zile mbaya mfano,15,16,17,! Hebu tujadili wakuu kwa nini hivi vyuo vya PRIVATE wanapewa G.P.A kubwa sana je ni sababu za kibiashara
usiku mwema profesa..
dont ever forget 22.3.2014
Wewe nimezunguka vyuo vyote na pia nimeona mi G.P.A yenu ni mikubwa sana unakuta jitu lina 4.0 lakini kichwani zero
usiku mwema profesa..
dont ever forget 22.3.2014
brother..
what is up? i saw that thread mchana ule, nilijaribu kupitia pitia baadhi ya page, sikuelewa vyema.
huyu kijana ni kwanini kaandamwa kwa kiasi kikubwa hivyo?
nimeona mleta uzi ule kasema kijana amezaliwa 1988 means ana miaka 26 tu mpaka sasa.
bad enough katika tathmini yangu ya haraka haraka, nimegungua kulingana na umri wake hakupaswa kumaliza kidato cha nne 2009. (
kihalali angetakiwa amalize 2006. possibly kijana kasharudia darasa zaidi ya mara 3.
(yuko nyuma miaka 3).
au inawezekana alianza darasa la kwanza akiwa na miaka 10. badala ya 7 kikawaida.
huo ujiniuz wake uko wapi?
nadhani hii iwe fundisho hata kwa member wengine
wenye tabia za kujikweza na kudharau wengine.

Mchana ilikua tifu balaa ila ndo hivyo wana jf wawe na nidhamu maana heshima imepungua sana.
mshindi nani...? wanajukwaa au mpigamsuli