Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
mkuu si naona ulivyowekwa kwenye blacklist! lols!
mpaka cc mna bifu eenh!
Hahhha muwache basiii mwenzioo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu si naona ulivyowekwa kwenye blacklist! lols!
mpaka cc mna bifu eenh!
mkuu mpigamsuli mbona sioni reply kwenye thread yako hii
Mkuu acha changanya mambo,huwezi linganisha shule za secondary na vyuo,hao wanaofanya vizur shule binafsi secondary wengi wao wanasoma vyuo vya serikari kama udsm,muhas na sua,thats wrong comparison
Ha ha ha
Yupo kwa ID mupyaaaa
npe ID yake mkuu
mkuu si naona ulivyowekwa kwenye blacklist! lols!
mpaka cc mna bifu eenh!
Ha ha ha
We fwatilia mwandiko tuu utamjua mkuu teh teh teh
ahaaaa mkuu npe kwa pm
mpigamsuli,Mkuu acha changanya mambo,huwezi linganisha shule za secondary na vyuo,hao wanaofanya vizur shule binafsi secondary wengi wao wanasoma vyuo vya serikari kama udsm,muhas na sua,thats wrong comparison
Nawe inabidi tukujadiliii hako kanacheza niniii banaa!!!
hoja hii sikutaka kuichambua kwa sababu ya kuchosha wasomaji, ninaelewa mambo mengi sana katika misingi ya hoja nyingi ambazo nyingi hazizungumzi ukweli bali ni imani.Ukweli ni kwamba vyuo vya private vipo ambavyo vinawaanda wanFunzi vizuri kabisa lakini jamii ya kitanzania kwa upande wa elimu ya juu wana imani na vyuo vya serikali zaid kuliko vya private. Tofauti na ilivyo kwa elimu ya sekondari.
Wanafunzi wa sekondari za private waliofaulu ni nadra sana kumkita chuo cha private ndio ujiulizesekondar mzazi alipambana mwanae asisome govt bt chuo vice versa. Mfumo wa upataji walimu wa chuowanabebwa the best je skondari ikoje?
mbona unakuja na maelezo yanayokutambulisha kuwa huna uwezo wa kujenga hoja.Maneno mengi huna hoja mi nimesoma shule za serekali na nipo chuo kikuu kinachoshika nafas ya nne afrika ubora haupimwi na poroja fanyeni utafiti.juz chuo kilihitaji waalimu wasaidiz likaja jamaa la saut lina gpa ya 4.4 likashindwa na mtu wa 3.8 toka mliman
Wakuu nimefanya utafiti kwenye vyuo vya BINAFSI,,nikagundua kwamba wanagraduate na G.P.A kubwa sana yaani unakuta G.P.A kubwa zimejaa sana ! ! Hebu tujadili wakuu kwa nini hivi vyuo vya PRIVATE wanapewa G.P.A kubwa sana je ni sababu za kibiashara
Hivi kwanini hutaki kuacha hii tabia?