Vyuo vya private na migpa mikubwa kwa nini?


mkuu nikuwekee picha yake hapa? hahahaaa!! ---- niweke nipigwe ban eenh? lols!

kijana ingia hapa .... mpigamsuli, then anza na orientation ya forums posts! utaona ujinga anaoufanya!
 
Last edited by a moderator:
le profeseli, mbona hutaki kuchat na mimi FB wakati umekubali friend request bana!!!

sio vizuri kabisa... halafu umeondoa profile picture kwanini profesa?

kidding!!!
 
mkuu nikuwekee picha yake hapa? hahahaaa!! ---- niweke nipigwe ban eenh? lols!

kijana ingia hapa .... mpigamsuli, then anza na orientation ya forums posts! utaona ujinga anaoufanya!

naona imepigwa gap kidogo,
bado jamaa wa kule chit chat, dizain kama huwa anajiona hivi,
ana avatar ya mandela.
 
Last edited by a moderator:
naona imepigwa gap kidogo,
bado jamaa wa kule chit chat, dizain kama huwa anajiona hivi,
ana avatar ya mandela.

hahahaaa!! kijana naona una bifu na mshkaji!!!

ila leo 22.3.2014, haitokaa isahaulike!!!!
 

Maneno mengi huna hoja mi nimesoma shule za serekali na nipo chuo kikuu kinachoshika nafas ya nne afrika ubora haupimwi na poroja fanyeni utafiti.juz chuo kilihitaji waalimu wasaidiz likaja jamaa la saut lina gpa ya 4.4 likashindwa na mtu wa 3.8 toka mliman
 
Kiwatengu ndo nani tena na achunguzwe kwa lipi? Tafadhali ufafanuzi.

Heee!! Mi hapa naingiaje ingiaje? uran, unataka kunijua?
Positively au Negatively.
Kila mtu anapande mbili chagua wewe unataka kunijua kwa upande upi,
Afu kama sikosei utakuwa mmeru wewe unaweka sana mambo moyoni, friendly!!!! πŸ™‚πŸ™‚πŸ˜‰
 
Last edited by a moderator:
mkuu mpigamsuli nimekumiss Profesa wangu..vp na kule fb mbna hujanijibu sms na reqst umekubali!!???
 
Last edited by a moderator:

pole sana....
 

Mkuu acha changanya mambo,huwezi linganisha shule za secondary na vyuo,hao wanaofanya vizur shule binafsi secondary wengi wao wanasoma vyuo vya serikari kama udsm,muhas na sua,thats wrong comparison
 
mkuu mpigamsuli mbona sioni reply kwenye thread yako hii
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…