Vyuo vya private na migpa mikubwa kwa nini?

Nakuunga mkono ! unakuta chuo ni 4.0 za kumwaga ! sasa swali ni je wanachukua watu wenye akili sana? hii ni biashara
 
Mkuu leo umeongea kitu cha maana :thumbup:
 
Ukimaliza chuo hayo maneno utayaona kosa la jinai kutamka mbele ya workmates wako wanaovuta mpunga wa juu kuliko wewe ambao walipitia hivyo vyuo unavyovidharau.

Asante sana mkuu Mshinga kwa analysis nzuri.

Hata hatuongelei mpunga, kama ni suala la mpunga kunamijitu ina elimu ya darasa la saba lakini nalipwa mpunga mrefu kuliko mwalimu mwenye shahada. Tunaongelea efficiency and application of what one studied in real life and at work in particular.
 
Last edited by a moderator:
nakuunga mkono ! Unakuta chuo ni 4.0 za kumwaga ! Sasa swali ni je wanachukua watu wenye akili sana? Hii ni biashara

kuna rafiki yangu alihitimu jordani univ. Ana gpa ya 4.7 nikamwambia kwanini usingebakishwa kuwa ta. Kanijibu wapo wengi!
 
Hata hatuongelei mpunga, kama ni suala la mpunga kunamijitu ina elimu ya darasa la saba lakini nalipwa mpunga mrefu kuliko mwalimu mwenye shahada. Tunaongelea efficiency and application of what one studied in real life and at work in particular.

Mwambie huyo
 
kuna rafiki yangu alihitimu jordani univ. Ana gpa ya 4.7 nikamwambia kwanini usingebakishwa kuwa ta. Kanijibu wapo wengi!

Hahahahah G.P.A 4.7! vyuo vya private vinaharibu elimu ya tanzania
 
Simple evaluation, Compare Matokeo/Permance ya 4M 4 ya Private Sec schools na Gvt Sec school mwaka huu? Hapa ndio utagundua kuwa kuelimika ni tofauti na kukariri.

Acha kuchemka wewe wanafunzi wengi wanaofaulu vizuri hupenda kusoma vyuo bora. mfano kwa Tanzania UDSM ndicho chuo bora hivyo ukiona mtu kaenda Makumila, Luko etc ujue kakosa sifa ya kusoma chuo kikuu cha umma
 
Walianza kudiss private school sasa kimya, watadiss private college + university baadae kimya
 
Acha kuchemka wewe wanafunzi wengi wanaofaulu vizuri hupenda kusoma vyuo bora. mfano kwa Tanzania UDSM ndicho chuo bora hivyo ukiona mtu kaenda Makumila, Luko etc ujue kakosa sifa ya kusoma chuo kikuu cha umma

Umenena mkuu mtu ukiwa na three za 16/17 huwezi anza na vyuo vya gvt lazma utaanza na RUCo,TEKU,TUMAINI takausitake
 
Hua sina tabia ya kutukana watu lakini wewe inabidi
Hv matokeo gani yanawekwa notice board kunakua na calculation za GPA?? Najua matokea hutoka kwa mtindo wa marks and grade
GPA nenda kwenye saris,aris yako
Acha pumba kijana

acha uongo huwa wanabandika na GPA
 
acha ujinga hakuna uhusiano moja kwa moja GPA na div.16,15,17 wewe soma tu kilaza
 
wewe nimekwenda mwenge nikakuta matokeo kwenye notice board yaani ni mig.p.a ya 4 kwenda juu
pepa zinakuwa za kawaida sana huko.pia wanasoma vitu laini na vichache kwa mda mrefu tu.mfano kuna jamaa yangu yupo chuo fulani hivi moshi ,alikuwa ananishangaa nikilalamika business law ,akaniambia kwao wote wana a na mtu wa mwisho ana b+ nkajua labda basi sisi tunasoma kilegelege kumbe bwana wao wamesoma topic mbili semister nzima wakati sisi kama tano zaidi na acts juu,lakini wao hawakazaniwi kutumia act ilimradi umeze notes tu.so ninachojua vyuo vya selikali havibembelezi watu kabisa bali vinamzuka wa kumbunguza watu chuoni,pia vyuo vingine vinakuwa na wanafunzi wachache so vinahitaji kupata wanafunzi wengi kwa kulegeza ili kuweza kafanya faida wanayoikadilia waipate na waweze kujiendesha ,lakini vyuo vya gvt havijali hasara yeyote.maoni yangu
 
kuna rafiki yangu alihitimu jordani univ. Ana gpa ya 4.7 nikamwambia kwanini usingebakishwa kuwa ta. Kanijibu wapo wengi!
hiyo ni test,semista result au kamaliza na hiyo gpa mmmm....
Da mwanangu huyo kapiga balaa hiyo si 1st class .akienda omba kazi si wanawezaona anakejeli.huyo huwa anabakishwa chuo kuwa t.a na kusomeshwa masters du.ila kama wengi wamepata hivo mbona ajabu.yaani ukiona zaidi ya 50% wamepata hivo hiyo ni abnomal ,maana malecture wetu wanazingua kweli.
 
Naona unamuwlimisha kwa data zote. Don't volunteer valuable information to a fool, reserve it for important occasions and to someone who can appreciate. Kwanza kufaulu kuna ajabu gani? Pili anaposema eti wana Div. 3, anaishi ulimwengu wa miaka gani asijue hata central admission system kwamba cut-off point ya kujiunga chuo ni ya serikali na siyo ya chuo binafsi? Let me stop-nisimwamshe alieyelala, nimuache kama alivyo.

Mkuu hivi vyuo vinaharibu sana elimu eti unakuta mtu kapiga LL,B ana 4.7 haaaaaa uongo mtupuu jamani 4.7 kubwa sanaaa halafu cha kuchekesha unakuta zipo nyingi (4.0) ,mimi najiuliza ni kwamba wanachukua waliofaulu vizuri sanaa? jibu ni hapanaa ni mlundikano wa vilaza sugu
 
Duniani kote vyuo vikuu bora huwa ni vya umma, hata huko Amerika, Europe vyuo bora vyote ni vile vya umma na vikongwe.

Umenena mkuu mtu ukiwa na three za 16/17 huwezi anza na vyuo vya gvt lazma utaanza na RUCo,TEKU,TUMAINI takausitake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…