Vyuo vya private na migpa mikubwa kwa nini?

Kwa lugha rahisi ni kwamba watu wanaosoma vyuo vya private wengi hawana akili darasani
 

wenye akili utawapataa 1.muhas 2.ardhi university 3.Udsm 4.sua 5.mzumbe 6.dit 7.must 8.udom @Cc mpigamsuli Perry
 
Last edited by a moderator:
Unachezea....kozi work 15 wewe SAUT...!!!!
 
No offense ila mimi Tanzania nawakubali UDSM peke yake, tena hicho ni angalau angalau kidogo
 
Mkuu leo umeongea kitu cha maana :thumbup:
siku zote naongea reality tu,sema tunatofautiana mawazo kwenye baadhi ya maeneo na hiyo ndio kawaida kuwa binadamu hatuwezi kufanana,lakini hata kwenye mada unazonipinga ukiwekwa kuongea na mimi debate utetee hoja zako inabidi ujipange sana na uwe very active vinginevyo unaweza usiendelee na mjadala.
thanks kwa appriciation ya leo
 

Mkuu naomba nikupe shikamoo!
 
Mshinga, umechambua hoja katika mawanda mapana sana na umenifumbua macho. Nisiseme mengi ila kwa mwenye akili timamu na akaruhusu kuzitumia vyema naamini atakua amekuelewa. Heko sana.
 
Last edited by a moderator:
Eti unakuta chuo miG.P.A ni mikubwa hadi unashangaa! cha kushangaza ni kwamba wanachukua vilaza sugu! ni bora wangekuwa wanachukua CREAM nisingeshangaa kuona miG.P.A mikubwa
 

Sina wasiwasi kwamba kwa intellectual scope ya aliyeanzisha mada hapa hataweza kunusa chochote. Kuna mawili matatu ya kujadili. Nitarudi.
 

Nenda zako huko unatetea kufeli kwako form6 ! kiukweli haingii akilini unakuta miG.P.A mikubwa wakati wanafunzi wanaochukuliwa kwenye hivi vyuo wanaufaulu hafifu na mbaya kama sio mchafu! ingekuwa vyuo hivi vya PRIVATE vinachukua CREAM kama zilivyo SPECIAL SCHOOLS mimi nisingeongea kitu !!
 
Sina wasiwasi kwamba kwa intellectual scope ya aliyeanzisha mada hapa hataweza kunusa chochote. Kuna mawili matatu ya kujadili. Nitarudi.

Hapa ndio tunaona nani mkorofi! nitakunyoosha huwezi ligi na mimi f**k you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…