na ada zao ni balaa,[/QUOTE havipati ruzuku ya serikali
Vyenyewe vinatazama pesa tu.utakuta mtu ana division 3 ya 17 anaenda chuo kusoma shahada. Lakini vyuo vikuu vya serikal huwezi kuta takataka hiyo
Vyuo vyote vipo kwa mujibu wa sheria ya TCU, na TCU ndio inayopeleka wanafunzi vyuoni kwa sasa, Kupata Division 3 sio tatizo unaweza kuwa na DIV 3 bado ukawa na sifa za kusoma chuo chochote Tanzania na nje ya Tanzania, na isitoshe sasa hivi point za kuingia chuo hupangwa na TCU japo vyuo vingine vinaweka Standards vyenyewe kwa ajili ya Ubora. Kumbuka sasa hivi kuna kitu kinaitwa RPL hii mtu wa darasa la saba aliyesoma certificate na mwenye uzoefu wa kazi anasoma na kufanya mtihani kisha anapewa hiyo Certificate ya RPL na kujiunga na Chuo kikuu!!! ipi afadhali? form six wa DIV 3 ya 17 au darasa la saba wa RPL?Vyenyewe vinatazama pesa tu.utakuta mtu ana division 3 ya 17 anaenda chuo kusoma shahada. Lakini vyuo vikuu vya serikal huwezi kuta takataka hiyo
Vyenyewe vinatazama pesa tu.utakuta mtu ana division 3 ya 17 anaenda chuo kusoma shahada. Lakini vyuo vikuu vya serikal huwezi kuta takataka hiyo