Vyuo vya private vinashusha thamani ya elimu

Vyuo vya private vinashusha thamani ya elimu

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Vyenyewe vinatazama pesa tu.utakuta mtu ana division 3 ya 17 anaenda chuo kusoma shahada. Lakini vyuo vikuu vya serikal huwezi kuta takataka hiyo
 
Vyenyewe vinatazama pesa tu.utakuta mtu ana division 3 ya 17 anaenda chuo kusoma shahada. Lakini vyuo vikuu vya serikal huwezi kuta takataka hiyo

hawana makosa ila wanafuata sheria iliyowekwa kuwa ili mtu apate nafasi ya kujiunga na chuo kikuu lazima awe na principle pass 2 yaani EE full stop..!
 
Vyenyewe vinatazama pesa tu.utakuta mtu ana division 3 ya 17 anaenda chuo kusoma shahada. Lakini vyuo vikuu vya serikal huwezi kuta takataka hiyo
Vyuo vyote vipo kwa mujibu wa sheria ya TCU, na TCU ndio inayopeleka wanafunzi vyuoni kwa sasa, Kupata Division 3 sio tatizo unaweza kuwa na DIV 3 bado ukawa na sifa za kusoma chuo chochote Tanzania na nje ya Tanzania, na isitoshe sasa hivi point za kuingia chuo hupangwa na TCU japo vyuo vingine vinaweka Standards vyenyewe kwa ajili ya Ubora. Kumbuka sasa hivi kuna kitu kinaitwa RPL hii mtu wa darasa la saba aliyesoma certificate na mwenye uzoefu wa kazi anasoma na kufanya mtihani kisha anapewa hiyo Certificate ya RPL na kujiunga na Chuo kikuu!!! ipi afadhali? form six wa DIV 3 ya 17 au darasa la saba wa RPL?
 
Vyenyewe vinatazama pesa tu.utakuta mtu ana division 3 ya 17 anaenda chuo kusoma shahada. Lakini vyuo vikuu vya serikal huwezi kuta takataka hiyo

si vyema sana kuandika vitu kwa mitazamo ya kitoto mpaka uite takataka, kwani wewe hujui hivyo vyuo vya serikali vinachukua wanafunzi wenye four za 26,27, 28 kujiunga na first degree walisoma na kufaulu advance, je na hao ni takataka? usiwe na kejeri kiasi hiki,vigezo vya kusoma chuo ni general kwa vyuo vyote na ndio maana hata udsm kuna wanafunzi wana division four za O level ambao walienda kufaulu advance
 
Tunazungumzia matokeo ya A-LEVEL, nenda Tumaini kuna watu wana division four wako pale na istoshe kuna wengine hawaja apply kupitia TCU wameenda kuomba chuoni moja kwa moja, vyuo vya prvate ni pesa yako tu unaingia na division four unatoka na GPA ya 4.
 
Nafikiri mtoa post ulipaswa kufikiri b4 hujaweka hii kitu hapa. Unalaumu private universities yet unasahau kuwa govt institutions unazosapoti hazipo kama zamani. Chukua mfano mdogo tu wa matokeo ya form 4, shule zilizoitwa spesho kipindi hicho zimeanzia nafasi ya 47 yet shule zinazoongoza ni private tupu.
Watz kama ww mnakuwa na wivu ucyo na msingi. Kwakuwa umebahatisha kuwepo chuoni basi unataka woote wengine wasisome ili uwe mungu mtu kama walimu wa vyuo vyenu!♥ badilika kk Tanzania ni ya watanzania wote c wa div. 1 na 2 pekee ambao wengine pamoja na kumaliza huko uliko bado mtaani wanatupa taaabu sana ku merge na walivyofundishwa.
 
Back
Top Bottom