na st.joseph je! maana 2.75M sio ndogo ati
Serikali kupitia TCU iliagiza vyuo vikuu vyenye ada kubwa hasa inayokaribia million mbili kupunguza angalau kukaribiana na vyuo vya serikali ili kupunguza mzigo kwa watanzania, sasa vyuo vilivyogoma vimepewa wanafunzi wachache hadi huruma, yaani chuo kimoja kishiriki cha Tumaini Makumira wamepewa wanafunzi kama 120 kwa kozi zipatazo 6 kutoka kwenye idadi inayo karibia 1000 mwaka uliopita, binafsi nawapongeza TCU kwa hilo, kwanini utoze ada zaid ya mara mbili ya ada inayolipwa na vyuo vya umma? Kwa hili TCU nawapongeza kwani maisha ni magumu na wanaotaka mkopo ni wengi.
Asante
Tumaini watu wabaya sana yaani hata vyuo vyake vishiriki navyo wana ada kubwa inayokaribia milioni mbili mi napendekeza mwakani wasipo shusha ada wasipewe hata mwanafunzi mmoja....wanafanya biashara hawapo kihuduma hawa
Serikali kupitia TCU iliagiza vyuo vikuu vyenye ada kubwa hasa inayokaribia million mbili kupunguza angalau kukaribiana na vyuo vya serikali ili kupunguza mzigo kwa watanzania, sasa vyuo vilivyogoma vimepewa wanafunzi wachache hadi huruma, yaani chuo kimoja kishiriki cha Tumaini Makumira wamepewa wanafunzi kama 120 kwa kozi zipatazo 6 kutoka kwenye idadi inayo karibia 1000 mwaka uliopita, binafsi nawapongeza TCU kwa hilo, kwanini utoze ada zaid ya mara mbili ya ada inayolipwa na vyuo vya umma? Kwa hili TCU nawapongeza kwani maisha ni magumu na wanaotaka mkopo ni wengi.
Asante
mkuu ni kweli wamepewa watu wachache kulinganisha na mahitaji yao ila makumira wamepewa watu 596 na sio 120. Ni hayo tu
hivi wanapewa wanfnz na tcu au wamepangwa wale waliochagua.
Labda uwasaidie mkuu tena sio primary Nursery schoolsUjinga ni kujifanya unang'ang'ania vyuo vya juu vipunguze ada wakati mnazichekea primary schools zinazotoza milioni moja kwa muhula. Pumbaaaaafu sana
Mie nalipa milion 3 hapa kairuki lakini bado naona ndogo maana kwanza huduma nzuri,tunakula bata,madem wa kihindi na wazungu tunagonga,tunagongania hosteli,matiba u bure !
Nyie someni huko uswahili kwenu tu bhana.
Labda uwasaidie mkuu tena sio primary Nursery schools

Nyie someni huko uswahili kwenu tu bhana.[/
QUOTE]
Wewe ni Zuzu wa mwisho duniani