Vyuo vya private vyenye ada kubwa vyakomeshwa

Vyuo vya private vyenye ada kubwa vyakomeshwa

Kilichotokea siyo kwamba TCU imewapa wanafunzi wacheche ila vyuo hivyo wanafunzi waliomba nafas ndiyo wachache.
 
Hata vyuo vya serikali vingekuwa havipewi ruzuku yeyote gharama ingekuwa mara dufu ya hii iliyopo.Labda serikali itoe Ruzuku hata kwa vyuo vya binafsi kufidia gharama
 
Serikali kupitia TCU iliagiza vyuo vikuu vyenye ada kubwa hasa inayokaribia million mbili kupunguza angalau kukaribiana na vyuo vya serikali ili kupunguza mzigo kwa watanzania, sasa vyuo vilivyogoma vimepewa wanafunzi wachache hadi huruma, yaani chuo kimoja kishiriki cha Tumaini Makumira wamepewa wanafunzi kama 120 kwa kozi zipatazo 6 kutoka kwenye idadi inayo karibia 1000 mwaka uliopita, binafsi nawapongeza TCU kwa hilo, kwanini utoze ada zaid ya mara mbili ya ada inayolipwa na vyuo vya umma? Kwa hili TCU nawapongeza kwani maisha ni magumu na wanaotaka mkopo ni wengi.

Asante

mkuu ni kweli wamepewa watu wachache kulinganisha na mahitaji yao ila makumira wamepewa watu 596 na sio 120. ni hayo tu
 
Tumaini watu wabaya sana yaani hata vyuo vyake vishiriki navyo wana ada kubwa inayokaribia milioni mbili mi napendekeza mwakani wasipo shusha ada wasipewe hata mwanafunzi mmoja....wanafanya biashara hawapo kihuduma hawa

Elimu ni biashara na huduma pia. Ulitaka wafanyaje sasa?
 
Serikali kupitia TCU iliagiza vyuo vikuu vyenye ada kubwa hasa inayokaribia million mbili kupunguza angalau kukaribiana na vyuo vya serikali ili kupunguza mzigo kwa watanzania, sasa vyuo vilivyogoma vimepewa wanafunzi wachache hadi huruma, yaani chuo kimoja kishiriki cha Tumaini Makumira wamepewa wanafunzi kama 120 kwa kozi zipatazo 6 kutoka kwenye idadi inayo karibia 1000 mwaka uliopita, binafsi nawapongeza TCU kwa hilo, kwanini utoze ada zaid ya mara mbili ya ada inayolipwa na vyuo vya umma? Kwa hili TCU nawapongeza kwani maisha ni magumu na wanaotaka mkopo ni wengi.

Asante

Hiyo iko njema sana
 
Vp na chuo cha bagamoyo ambayo ada yake n 3m per year?dawa ya hiv vyuo vyenye ada ndefu n kuwatangazia wanfnz wanaoapply wacvichague kabsa,watajrekebisha 2.
 
Mmeshaambiwa vyuo vya serikali vinapokea Ruzuku ndio maana mnaona gharama iko chini Elimu ni ghari. Unataka ulipe chuo ada isiyozidi 1 millioni kweli? Sasa secondary walipe shingapi na Nursery. Ifike hatua watu ambao tunatarajia kuwa wazazi tutambue mara 100 usizae kuliko kuleta kiumbe ambacho hujaandaa mazingira ya kukifanya kisipate shida duniani. Na tusikalie kulia tufanye kazi Maisha hayatoshuka hata siku moja tutakalia kulia huku wengine wanafanya we kalia kulia Ada kubwa wapo wanaozilipa hizo Ada tena kwa pesa halali we lia tu Maisha ya mtanzania wa kawaida uache kupigania maisha yako
 
Kuna baadhi ya course serikali itakuwa inajipiga doko yenyewe.

Ina vyuo viwili tu vya udaktar kwa bara tena wanataka three principal passes MUHAS na UDOM tena PCB pekee sasa hao wanafunzi wote watarundikwa MUHAS na UDOM au hii issue ni kozi zipi?

Watu wengine wamechagua vyuo kutokana na mifuko yao sasa utampangiaje mtu Chuo chenye sio chaguo lake?

Mfano aliyechagua vyuo vyote private kwa MD na kapiga CBM anapelekwa wapi sasa?

Serikali itoe ruzuku kwa vyuo vya private ili vipunguze Ada,mbona MD ya SUZA ni 3.--million na ni Chuo cha serikali?

Kama vipi vyuo vidahili vyenyewe bila kupitia huko TCU tuone kama vitakosa wanafunzi.
 
Ujinga ni kujifanya unang'ang'ania vyuo vya juu vipunguze ada wakati mnazichekea primary schools zinazotoza milioni moja kwa muhula. Pumbaaaaafu sana
 
Ujinga ni kujifanya unang'ang'ania vyuo vya juu vipunguze ada wakati mnazichekea primary schools zinazotoza milioni moja kwa muhula. Pumbaaaaafu sana
Labda uwasaidie mkuu tena sio primary Nursery schools
 
Mie nalipa milion 3 hapa kairuki lakini bado naona ndogo maana kwanza huduma nzuri,tunakula bata,madem wa kihindi na wazungu tunagonga,tunagongania hosteli,matiba u bure !
Nyie someni huko uswahili kwenu tu bhana.

Kichwa chako kina matatizo.Hivi suala la mademu nalo unaona ni la msingi?
 
Labda uwasaidie mkuu tena sio primary Nursery schools

Hiv mnafahamu kwamba unatakiwa ulipe pesa kulingana na huduma unayoipata? Wanao peleka watoto nursery na primary za milioni kadhaa mnajua wanachokifuata?anyway waweke basi gharama kulingana na huduma wanazotoa,hostel hakuna,computer lab mkiingia 50 nafasi haitoshi,maktaba vitabu vya kuungaunga,bado ma lecturers wengi ni degree holders nadhani bila shaka ni kutokana na malipo,sitaki kutaja chuo lakini hayo nimejionea mwenyewe kwa macho yangu sidhani kama kuna mzazi muelewa anaweza kumpeleka mwanawe katika mazingira hayo kwa ada ya milioni 2 hapo bado gharama za kupanga chumba mtaani..."gharama ziendane na huduma zitolewazo pamoja na ubora wa elimu"
 
Mie nalipa milion 3 hapa kairuki lakini bado naona ndogo maana kwanza huduma nzuri,tunakula bata,madem wa kihindi na wazungu tunagonga,tunagongania hosteli,matiba u bure !
Nyie someni huko uswahili kwenu tu bhana.

Uki disco usije kuanza kukiponda chuo!
 
Mie nalipa milion 3 hapa kairuki lakini bado naona ndogo maana kwanza huduma nzuri,tunakula bata,madem wa kihindi na wazungu tunagonga,tunagongania hosteli,matiba u bure !
Nyie someni huko uswahili kwenu tu bhana.

haohao unaowagonga ndio watakaokukejeli na kukucheka utakapodisco na hawatakuonea huruma.....funguka akili unaonekana bado mjinga sanaaa
 
Mie nalipa milion 3 hapa kairuki lakini bado naona ndogo maana kwanza huduma nzuri,tunakula bata,madem wa kihindi na wazungu tunagonga,tunagongania hosteli,matiba u bure !
Nyie someni huko uswahili kwenu tu bhana.[/
QUOTE]

Wewe ni Zuzu wa mwisho duniani
 
Back
Top Bottom