Vyuo vya Tanzania

Vyuo vya Tanzania

GP

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2009
Posts
2,049
Reaction score
161
zifuatazo ni tabia na kasumba ya wanafunzi wa vyuo vya Tanzania:

1. Maskini,waoga na washamba- SUA
2. Matajiri,wajanja na wenye akili- MZUMBE
3. Wenye akili chache,wavivu na matozi,master duu- CBE DAR
4. Malaya , wasanii,wauza sura na wasio jiweza kiakili- IFM
5. Upeo mdogo,wapenda sifa na watoto wa mama- TUMAIN UNIVERSITY
6. Wazalendo wenye asili ya Arusha na Moshi- MUCCOBS
7. Wapenda ofa duni za serikali- TIA
8. Waliokosa vyuo kabisa- RUCCO
9. Mafundi- DIT,ST JOSEPH,MBEYA INSTITUTE OF TECH
10. Wapenda dezo na wamekosa nafasi UDSM- UNIVERSITY OF DODOMA
11. Wasiojali future- SAUT, USTAWI WA JAMII,MWL NYERERE,MAGOGONI,UHAZILI TABORA,CBE DODOMA
12. wenye uwezo wa kipesa na kiakili but walifeli form4 au form 6- IAA
13. Wanaosoma sana but silent- ST JOHN,KAIRUKI,KCMC,BUGANDO
14. Wasiofahamu umuhimu wa elimu- CHUO CHA MIPANGO DOM, ZANZIBAR UNIVERSITY ,MORO MUSLIMU,NYUKI TABORA
15. Wakujitolea na future duni- DUCE,MUCE,TEOPHILO KISANJI,KIGURUNYEMBE,nk
16. Wasiojali nchi mamluki- ABROAD
17. Watu wa sifa zote hapo juu na za kila aina- UDSM
 
mkuu,
mi fundi kamili from DIT 😀
Pamoja na kwamba hayo ni mawazo yako binafsi, ambayo nina uhakika hujayafanyia utafiti wowote wa kisayansi, sana sana ni maneno ya vijiweni tena vijiwe vilivyoishiwa, nakupa pale kwa kujaribu kuionyesha jamii upeo wako wa kukurupukia mambo.Pia sina uhakika kama kweli wewe uliwahi kuwa mzalendo wa 'TAIFA TEULE'.Au unatafuta kujua tabia za vyuo ulivyovitaja kwa kuchokoza watu?
Ukweli ni kuwa mafundi hawako hivyo, hawapendi maneno maneno ya bla bla.
we huoni wanavyopewa vimishahara vidogoooo, wanazidiwa tena mbali sana na wahasibu, mabenka, wakaguzi wa mahesabu, wagavi, n.k lakini wao wanakwenda na maisha kimya kimya na kinaeleweka!!!!
 
Pamoja na kwamba hayo ni mawazo yako binafsi, ambayo nina uhakika hujayafanyia utafiti wowote wa kisayansi, sana sana ni maneno ya vijiweni tena vijiwe vilivyoishiwa, nakupa pale kwa kujaribu kuionyesha jamii upeo wako wa kukurupukia mambo.Pia sina uhakika kama kweli wewe uliwahi kuwa mzalendo wa 'TAIFA TEULE'.Au unatafuta kujua tabia za vyuo ulivyovitaja kwa kuchokoza watu?
Ukweli ni kuwa mafundi hawako hivyo, hawapendi maneno maneno ya bla bla.
we huoni wanavyopewa vimishahara vidogoooo, wanazidiwa tena mbali sana na wahasibu, mabenka, wakaguzi wa mahesabu, wagavi
, n.k lakini wao wanakwenda na maisha kimya kimya na kinaeleweka!!!!

nimekuchoma nini?
watu wote hatuwezi kuwa madaktari wala walimu wala mabenka, pointless 😀
 
by the way this is JOKE
😀 😀
 
Atawapa baadae lakini naona utafiki huu wa kifukunyuku ulifanyika
kabla baadhi ya vyuo havijaanzishwa kwa kuwa umekaaa kizeeekizee
tena Jizeee lililofulia lipo kijiwe linashindana Usela na madogo yanayochipukia
Lakini its funi mi mwenyewe nipo kwenye College mojawapo ila si kiivyo
fundi alivyo andika ila bigup man Fundi oyeeeeeeeeeh!!!!!!!!!!1
 
Nasikitika kuwa umesahau wataalam wa Tanzania ya Kesho- ARDHI UNIVERSITY😉
 
nimekuchoma nini?
watu wote hatuwezi kuwa madaktari wala walimu wala mabenka, pointless 😀

Hii inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mbumbumbu mzungu wa reli.Mimi nimekueleza kwamba mafundi hawapigi makelele wala hawana blabla kama unavyofanya hapa, nikakupa mfano kuwa vimishahara vyao ni vidogo kulinganisha na madaktari, mabenka, wahasibu n.k lakini wao hawalalamiki maisha wanayasongesha kimya kimya. Wanatumia vizuri utaalamu wao kufanikisha mambo yao.Sasa unapokurupuka na kusema wote hatuwezi kuwa madaktari, nani kakuambia hivyo?au unaota?
 
MUHAS ni chuo au primary?? Vyuo vingine vimejificha uvunguni!! Huenda ni kwa sababu ya ufanisi hafifu au wako kimya??

Katibukata mbona unachekesha kihivyo!!!! hapa tunazungumzia vyuo vya Tanzania kama thread inavyotaja hapo juu, ingawa muanzilishi wa thread hakuweka bayana ni vyuo gani, vya elimu ya juu, vya ufundi stadi au vya udereva laki ni kwa kuangalia majina ya vyuo vilivyotajwa moja kwa moja unaelewa kwamba anazungumzia vyuo vya elimu ya juu. sasa haya mambo ya primary wapi na wapi?Labda nikusaidie tu kwamba MUHAS ni chuo kikuuu cha tiba na sayansi ama ukipenda MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE
 
leta nikupe wazo mbadala ktk hoja yako, ni kua ni wanafunzi hao hao wa Mzumbe hata wakiwa na First class hawapokelewi kwa masters Mlimani au IFM, nenda kaangalie takwimu za wanaofeli zaidi PGDA pale IFM Wana background ya wapi, au nenda bodi ya Uhasibu kaangalie takwimu za ufauli za wanafunzi wenye background ya mzumbe..... na hiyo ni kwa upande wa wahasibu, tazama malecturers..... wa Chuo chako MZUMBE NI MADUDU. lakini ni mawazo yako...., unajua unawaza kizamani sana, maana kwa kadri wasomi wa ngazi ya shahada au stashahada ya juu wanavyoongezeka wewe unaona kua ni anguko la kitaaluma..... unawivu wakichawi.
 
Huyu ningekuwa moderator ni wa kufungia mwaka kwa kuwa anabuni mambo na anakurupuka. Kwa maoni yangu huyu aliye-threadisha hii mada ni moja ya members wa the said ************ kwa kuwa mtiririko wa fikra zake ni 100% huko. Moderator mwambie hapa ni jamvi la wastaarabu. Ranking criteria alotumia ni ya kizeutamu.com kabisa. Tena anatakiwa ajieleze elimu yake hapa jamvini isijekuwa ali-disco na baadae kubainika alighushi vyeti - a common syndrome in some Universities
 
Back
Top Bottom