msambinungwa
Member
- Jun 28, 2014
- 97
- 13
kwani kwenye profile zenu inawaonyeshaje?
Bro wangu aliwatumia kwa njia ya posta
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Me niliomba certificate ya ualimu shule ya msingi jina Neema B mgegwa..ualimu checking in progress? uliomba nini nijuze nikusaidie kuperuzi. ila kwa njia ya posta hakunaga batch zaidi ya moja ni mfumo tu wenye hicho kitu.
ualimu checking in progress? uliomba nini nijuze nikusaidie kuperuzi. ila kwa njia ya posta hakunaga batch zaidi ya moja ni mfumo tu wenye hicho kitu.