Vyuo vya ualimu batch ya pili hawatoi?

Vyuo vya ualimu batch ya pili hawatoi?

msambinungwa

Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
97
Reaction score
13
jamani wataalamu wamambo naomba mnisaidie,vyuo vyaualimu awatoimtokeo mengine maana nilisikia nawao watatoa tena 22sept au nilikua napewamatumaini tu?.
 
Hata mimi nashangaa nacte wako kimya kabisa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
ualimu checking in progress? uliomba nini nijuze nikusaidie kuperuzi. ila kwa njia ya posta hakunaga batch zaidi ya moja ni mfumo tu wenye hicho kitu.
 
ualimu checking in progress? uliomba nini nijuze nikusaidie kuperuzi. ila kwa njia ya posta hakunaga batch zaidi ya moja ni mfumo tu wenye hicho kitu.
Me niliomba certificate ya ualimu shule ya msingi jina Neema B mgegwa..
 
Back
Top Bottom