mapambanodaima
Senior Member
- Oct 22, 2012
- 108
- 15
Wanajamvi kwa kile nilichoandika wiki mbili zilizopita kuhusu kufutwa kwa mafunzo kwa vitendo yaani (BTP). Jingine ambalo limeibuka ni kufungwa kwa vyuo vya ualimu ghafla kwa kisingizio hakuna chakula.
Lakini tukirejea ratiba ya mitihani ya kumaliza mafunzo yao ni tarehe 5 ya mwezi ujao. Vyuo vilivyofungwa rasmi ni Bunda na Bustani na vingine vinafuata.
Sina uhakika kama waziri anafahamu ila tu naona wizara ya elimu ni kama wamesusia baada ya mfumo kubadilika na Nacte kuwa wasemaji wa mwisho. Hapa kuna jambo linapaswa lifanyike ili kuwanusuru hawa walimu wanachuo.
Suala la BTP ndo tayari limekufa kabisa kama nilivyotoa taarifa wakati vyuo binafsi vimefanya mafunzo hayo na pia wamefanya moderation.
Sijui bhana ila mimi nimsakatonge tu.